Kocha mkuu wa klabu ya Arsenal Mhispanyola Unai Emery amefunguka na
kuweka wazi hisia zake na maoni yake kutokana na kile kinachoendelea
mitandaoni hasa kuhusu yeye na timu yake.Kauli
yake hii inakuja baada ya mashabiki wa Arsenal kuazna kulaumu kuhusu
kiwango cha timu hiyo kwani imeanza kudorora baada ya mwanzo kufanya
vizuri katika baadhi ya michezo. Download ,Install App bora ya Habari na michezo
Wakati
klabu inabadilisha meneja, ni kwa sababu wanataka kitu kipya,
“anasema.” Changamoto ni kutambua kitu kizuri ni kipi – ni kitu ambacho
unayopaswa kukitunza – lakini pia mambo unayohitaji kubadili na
kuboresha. Hapa, ni wazi, kulikuwa na mambo mengi ya kubadili na
kuboresha. “
Baada
ya kufunguka kuhusu hilo pia aliongelea kuhusu kununa wachezaji wapya
na alisema ” “Hatuweza kusajili mchezaji mwingine kwa kutoa hela mfukoni
labda tuchukue mchezaji kwa mkopo, hicho nahisi haukutarajia kusikia
kutoka kwenye klabu iliyoko nyuma kwa alama 6 kutoka kwenye timu iliyoko
top four, ikiwa na hatari ya kutokushiriki michuano ya kimataifa kwa
mara ya tatu mfululizo baada ya miaka 19 ya kucheza katika michuano
mikubwa ya kimataifa”. Download ,Install App bora ya Habari na michezo
No comments:
Post a Comment