Wednesday, 16 January 2019

Matokeo Ruvu Shooting vs Azam Leo

Matokeo Ruvu Shooting vs Azam Leo
Matokeo ya Moja kwa moja kati ya Ruvu Shooting ya Mkoani Pwani dhidi ya Azam Fc kutoka Dar Es Salaam, Mechi inachezwa uwanja wa Mabatini.
Mechi Imeanza
Ruvu Shooting 0 – 0 Azam Fc
Dakika ya 3 Ruvu Shooting wanakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 10 Azam Fc wanapata kona iliyosababishwa na Movement za Chirwa
Inapigwa Kona inaokolewa na walinzi wa Ruvu Shooting
Dakika ya 11 Azam Fc wanapata Kona tena wanashindwa kuitumia.
Ruvu Shooting 0 – 0 Azam Fc
Dakika 20
Ruvu Shooting 0 – 0 Azam Fc
Dakika ya 31 Azam Fc wanapata kona nyingine ya Mchezo lakini wanashindwa kuitumia vyema

Dakika ya 40
Ruvu Shooting 0 – 0 Azam Fc
HALF TIME
Ruvu Shooting 0 – 0 Azam Fc
 Download ,Install App bora ya Habari na michezo

No comments:

Post a Comment