Afisa habari wa timu ya Simba Haji Manara amefunguka juu ya Goli lake
bora la mwaka Kwenye ligi kuu soka ya Tanzania bara huku akilitaja goli
la mchezaji wa Yanga Ibrahim Ajibu alilolifunga dhidi ya Mbao Fc.
Haji Pia ametaja assist bora zaidi, save bora na waandishi wake bora kwa mwaka 2018.
Best Goal kwa mwaka huu Tz ni la Ibrahim Ajibu Yanga vs Mbao
Best Assist Hassan Dilunga Simba vs Mbambane
Best Save Of the line 2018 James Kotei Simba vs Jkt Ruvu Tanga
Mwandishi aliyenipa msaada mkubwa kwa kunikosoa kiungwana bila mbwembwe za kindizi ni Saleh Ally wa Championi
Wanahabari wanaojali Somoe Baby wa Nipashe na Asha Muhaji wa Mtanzania
Tukutane kesho Mungu akipenda kwa Matukio na Watu walionivutia ktk Sekta mbali mbali ndani na nje ya nchi
Nb! Haya ni maoni na utashi wangu kama Haji hayana fungamano na mwingine
De le Boss Awards 2018 Best Goal kwa mwaka huu Tz ni la @ibrahimajibu23 Yanga vs Mbao Best Assist @hassan_dilunga24 Simba vs Mbambane Best Save Of the line 2018 @officialjameskotei Simba vs Jkt Ruvu Tanga Mwandishi aliyenipa msaada mkubwa kwa kunikosoa kiungwana bila mbwembwe za kindizi ni @salehjembefacts wa Championi Wanahabari wanaojali @somoebaby wa Nipashe na @ashamuhaji wa Mtanzania Tukutane kesho Mungu akipenda kwa Matukio na Watu walionivutia ktk Sekta mbali mbali ndani na nje ya nchi Nb! Haya ni maoni na utashi wangu kama Haji hayana fungamano na mwingine

No comments:
Post a Comment