Msanii wa muziki wa kizazi kipya pia akiwa mchezaji wa timu ya
Coastal Union ya mkoani Tanga Ali Salehe Kiba alimaarufu Alikiba ameweka
wazi orodha ya wasanii watakaoperform katika show yake ya funga mwaka
na king kiba.
Alikiba aliandika hivi kuhusu Mwana Fa:-
“Labda siku nyingi hujamuona @mwanafa kwenye jukwaa. Unahitaji kusikia mashairi yake ya kitambo na ngoma kali za hapo juzi kati kama #AsanteniKwaKuja#Sielewi#DumeSurualina nyingine.
.
Kiu ya burudani za Falsafa itakatwa Jumamosi hii pale Next Door Arena kwenye #FungaMwakaNaKingKiba. Hakikisha unanunua tiketi yako mapema.
.
Bila shaka unyunyu wa @fynbyfalsafautapatikana pale pia.
#mofayabyalikiba
#FungaMwakaNaKingKiba
#KingKiba”

No comments:
Post a Comment