Saturday, 29 December 2018

Matokeo Mbeya City vs Yanga leo

Matokeo Mbeya City vs Yanga leo
Mechi Imeanza
Mbeya City 0 – 0 Yanga
Dakika ya 1 Ibrahim Ajibu anamuweka chini Iddi Suleiman ni mpira wa adhabu kuelekea Yanga
Dakika 10
Mbeya City 0 – 0 Yanga
Goaaaaaaaaaal dakika ya 19 Heritier Makambo anaupatia Yanga bao LA Kwanza Assist ya Ajibu

No comments:

Post a Comment