Friday, 28 December 2018

Ujumbe wa Mo Dewji baada ya Makundi kutoka

Ujumbe wa Mo Dewji baada ya Makundi kutoka
Mara baada ya Makundi kutoka na Simba kupangwa katika Kundi D na timu za Js Saoura , AS Vita na Mabingwa wa zamani wa Afrika Al Ahly Huu ndiyo Ujumbe aliouandika Boss wa Simba Mo Dewji kupitia Twitter yake.
The challenge is only as good as your opponent. And your opponent is only as good as you allow them to be. #TotalCAFCL
Akimaanisha

No comments:

Post a Comment