Friday, 11 January 2019

Alichoamka nacho Manara kuelekea mechi na Waarabu leo

Leo Simba itashuka dimbani kucheza na waarabu kutoka Algeria timu ya Js Saoura katika mchezo wa hatua ya Makundi CAF Champions league.
Kuelekea mchezo huo afisa habari wa Simba Haji Manara ameendelea kuwahamasisha wanasimba huku leo akiamka na kusema atakaa na watu wake wa Nguvu mzunguko(Eneo ambalo si VIP)
Watu wangu wa nguvu leo nakaa na nyinyi mzunguko!!
Tunachinja mwanzo mwisho!!
Tunahanikiza wote kwa Yes We Can!!
Mniwekee nafasi upande wa kaskazini


Download ,Install App bora ya michezo

No comments:

Post a Comment