Siku kadhaa baada ya kuanza kufanya mazoezi na kikosi cha Yanga
Mchezaji aliyekuwa amefungiwa kujihusisha na Soka Mohammed Issa Banka
ameelezewa uwezo wake na Kocha Zahera Mwinyi.
Zahera Mwinyi ameeleza kuvutiwa na uwezo wa Banka na kusema mchezaji huyo ataongeza nguvu kubwa sana kwenye kikosi cha Yanga atakapoanza kuitumikia rasmi mwezi ujao.
” Nimevutiwa sana na Banka, ukimuona uwanjani mazoezini utagundua kwamba ni mchezaji, ambaye licha ya kuwa nje kwa muda mrefu, lakini alikuwa ak-izingatia nidhamu ya mwili, nilikuwa nahitaji sana mtu kama huyu katika timu yangu,”

No comments:
Post a Comment