Hatimaye kampuni ya Apple imetoa taarifa rasmi juu ya ripoti ya mwaka
jana 2018, ambayo ilieleza kuwa mauzo ya iPhone yameshuka duniani.
Taarifa hiyo imeeleza kuwa Apple imeshusha kiwango cha matarajio ya mapato kwa robo ya kwanza ya mwaka 2019 kutoka kiasi cha dola za Marekani bilioni $89 na biloni $93 kwa mwaka 2018, hadi kiasi cha dola za Marekani bilioni $84 kwa mwaka huu 2019.
Apple wamesema kuwa, tatizo kubwa la kushuka kwa mauzo lilikuwa ni kushuka kwa soko la simu za iPhone nchini china, ambapo Apple imedai kuwa ndipo panapo changia mapato kwa kiasi kikubwa.
Mbali na hayo, Apple pia imetaja sababu nyingine kuwa ni bei ya ubadilishaji wa betri wa simu hizo kushuka ndio maana watu wengi zaidi walijikita kwenye kubadilisha betri za simu zao zaidi kuliko kununua matoleo mapya ya simu hizo za iPhone.
Mbali na mauzo ya iPhone kushuka, mauzo mangine ya bidhaa za Apple kama vile Apple Watch, Apple Music, Apple iCloud na Apple Computer yameonekana kuongezeka kwa kiasi kikubwa na kuripotiwa kutengeneza zaidi ya dola bilioni $10.8 kwa mwaka jana 2018.
SOMA ZAIDI TAARIFA HIYO HAPA CHINI;
To Apple investors:Today we are revising our guidance for Apple’s fiscal 2019 first quarter, which ended on December 29. We now expect the following:

- Revenue of approximately $84 billion
- Gross margin of approximately 38 percent
- Operating expenses of approximately $8.7 billion
- Other income/(expense) of approximately $550 million
- Tax rate of approximately 16.5 percent before discrete items
No comments:
Post a Comment