Download ,Install App bora ya michezo
Habari hii kutoka SimbaKlabu ya Simba itakuwa ikikabiliwa na mchezo wake wa tatu wa hatua ya Makundi dhidi ya Al Ahly 2 February 2019 huko mjini Alexandria nchini Misri.
Simba itashuka kucheza mchezo huo ikiwa nafasi ya tatu kwenye msimamo wa kundi lake juu yake wakiwepo Al Ahly mwenye point 4 na As Vita mwenye alama sawa na Simba Points 3 lakini wakizidiana uwiano wa magoli ya kufunga na kufungwa.

Katika mazoezi ya Simba msomaji wa Kwataunit.co.ke wachezaji walionekana wazi kusumbuliwa na baridi kali lililopo huko Misri kwa sasa lakini kadiri muda ulivyokuwa ukizidi walionekana kuzoea hali hiyo.
No comments:
Post a Comment