Saturday, 12 January 2019

Habari mpya waliyoitoa Yanga mchana wa leo 12 January 2019

Habari mpya waliyoitoa Yanga mchana wa leo 12 January 2019
Vinara wa ligi kuu soka ya Tanzania Bara TPL klabu ya Yanga imetoa Taarifa mchana wa leo kuelekea mechi zake mbili zinazofuata za ligi kuu
Mechi hizo ni kati ya Yanga na Mwadui Fc ya Shinyanga na kati ya Stand United dhidi ya Yanga mechi zilizopangwa 16 na 20 awali ila Yanga wametangaza mabadiliko kwa mechi hizo kuchezwa 15 na 19.
 Taarifa:
Kwa mujibu wa mabadiliko mapya ya ratiba, michezo miwili iliyokuwa tucheze tarehe 16 na 20 sasa tutacheza tarehe 15 na 19.
Zingatia mabaliko haya


Download ,Install App bora ya michezo

No comments:

Post a Comment