Huyu ndiye aliyeahidi kulipa mishahara yote ya wachezaji Yanga
Mgombea wa nafasi ya kaimu mwenyekiti klabu ya Yanga Magege Chota
ameahidi kulipa mishahara ya wachezaji wa Yanga endapo atachaguliwa kama
kama kaimu mwenyekiti.Magege ameahidi kutatua tatizo hilo ili kuhakikisha kikosi cha Yanga kinaendelea kupambana katika kinyan’anyiro cha kuhakikisha wanauchukua Ubingwa.
“Unaua wachezaji wa Yanga wengi hawajalipwa fedha za mishahara yao, nawaahidi wanachama wa Yanga kuwa nitafanya zoezi la kuwalipa wachezaji ili vita ya mapambano ishike kasi endapo wakinipa kura” alisema.
No comments:
Post a Comment