Sunday, 20 January 2019

Manara ahamishia 5 za Simba kwa Yanga awataja Stand

Manara ahamishia 5 za Simba kwa Yanga awataja Stand
Jana kwa hakika ilikuwa siku ambayo ilikuwa na matukio ya kikatili kwa washabiki wa Yanga na Simba ambapo Yanga kwa mara ya kwanza ilipoteza mchezo wa Ligi kwa msimu huu na Simba naowakajikuta wakipokea kipigo kikubwa zaidi kwa miaka ya karibuni kwa kufungwa bao 5 kwa 0 na As Vita
Baada ya kipigo hiko Haji Manara akaandika Ujumbe kuwakumbusa Yanga zile tano zao walizowahi kufungwa na Simba huku akikumbusha Unbeaten ilivyovunjwa na Stand Shinyanga.
Nani aliokwambia Simba ndio wa kwanza kufungwa Tano?hebu Gongowazi njooni hapa,lini tuliwafunga tano mara ya mwisho, au mwajitoa fahamu?
Na vp kale kananiu nasikia Stand wamekinaniliu?
Au bado kipo? 

No comments:

Post a Comment