Saturday, 12 January 2019

Matokeo Al Ahly vs As Vita Club 12 January 2019

Matokeo Al Ahly vs As Vita Club 12 January 2019
Matokeo ya Moja kwa moja kati ya Al Ahly dhidi ya As Vita Club ya Congo mechi ikichezwa huko mjini Alexandria Misri.
Mechi Imeanza
Al Ahly 0 – 0 As Vita Club
Dakika 10 bado 0 kwa 0
Dakika ya 14 Al Ahly wanapata Kona, Inachezwa kona kinapigwa kichwa mpira unapitia juu ya lango la As Vita
Dakika ya 18 Shaaban wa As Vita anajaribu shuti nje ya kumi na nane mpira Unakatika

Download ,Install App bora ya michezo

Dakika 20
Al Ahly 0 – 0 As Vita
Dakika ya 29 Makusu anaachia shuti kali langoni mwa Al ahly kipa anatoa na kuwa kona
Dakika ya 30 Al Ahly wanafanya shambulizi la Kushtukiza al manusra As Vita wajifunge goli.
Dakika ya 35 Kalonji wa As Vita anapewa kadi ya pili ya njano na kupewa nyekundu hivyo As Vita wanalazimika kucheza pungufu
Dakika 40
Al Ahly 0 – 0 As vita Club

HALF TIME

Al Ahly 0 – 0 As Vita Club
KIPINDI CHA PILI
Dakika ya 48
Al Ahly 0 – 0 As Vita Club
Dakika ya 50 Kipa wa As Vita Club Lukong Anadaka mpira wa hatari uliopigwa kuunganishwa kwenye v pass
Dakika ya 60 As Vita wanashindwa kuitumia nafasi ya wazi waliyoipata
Dakika ya 63 As VITA wanapata kona, wanashindwa kuitumia
Goaaaaaaal Maher aliyeingia Kipindi cha Pili anaipatia Al Ahly bao la Kuongoza
Al Ahly 1 – 0 As Vita
Dakika ya 70 As Vita Club wanakosa nafasi ya wazi ya kusawazisha goli
Dakika ya 78 Al Ahly wanapata penati baada ya Kipa Kugusa mguu wa mshambuliaji wa Al Ahly
Maaloul anafunga bao kwa njia ya penati na kufanya matokeo kuwa 2 kwa 0 A l Ahly wakiongoza
Dakika ya 87 Ramadan Sobhi wa Al Ahly anakosa nafasi ya wazi baada ya kuwalamba vyenga mabeki wa As Vita

FULL TIME

Al Ahly 2 – 0 As Vita

Download ,Install App bora ya michezo

No comments:

Post a Comment