HALF TIME
Singida United 0 – 0 Bandari Fckipindi cha pili
Singida United wanaanza kipindi cha Pili na Dakika ya 50 anatoka Awesu Awesu anaingia Benedict Jr.
Goaaaaal dakika ya 67 Bandari wanatangulia kwa bao 1 kwa njia ya penati
Singida United 0 – 1 Bandari
No comments:
Post a Comment