Wednesday, 9 January 2019

Matokeo Yanga vs Jamhuri leo

Download ,Install App bora ya michezo

 

Matokeo Yanga vs Jamhuri leo
Dakika 10
Yanga 0 – 1 Jamhuri
Dakika 20
Goaaaaal dakika ya 20 Yanga wanasawazisha bao
Yanga 1 – 1 Jamhuri

MapinduziCup2019

Yanga SC v Jamhuri FC
Yanga 3 – 1 Jamhuri
HT’
Wafungaji wa Yanga SC
Faraji Kilaza
Shaban Mohamed
Pius Buswita
Wafungaji wa Jamhuri FC
Khalfan Swaleh
Dakika ya 50
Yanga 3 – 1 Jamhuri
Yanga SC v Jamhuri FC
FT’
Mabao ya Faraji Kilaza, Shaban Mohamed na Pius Buswita yanalifunika bao la Khalfan Swaleh.
Yanga SC 3 – 1 Jamhuri FC

No comments:

Post a Comment