Tuesday, 22 January 2019

Matokeo Yanga vs Kariobangi Sharks leo

Matokeo Yanga vs Kariobangi Sharks leo
Klabu ya Yanga imetupwa nje ya Mashindano ya Sportpesa Supercup mara baada ya kufungwa kwa bao 3 kwa 2.
Yanga alifungwa bao 2 kwa sifuri kipindi cha Kwanza na Kisha kipindi cha Pili akafunga bao la Kwanza Kupitia kwa Amis Tambwe lakini baadaye K Sharks wakafunga bao la tatu.
Mwishoni mechi ikielekea kumalizika Yanga wakafunga bao la Pili kupitia kwa Heritier Makambo, Mpaka mwisho 3 kwa 2.

No comments:

Post a Comment