Download ,Install App bora ya michezo
10:00 jioni kutakuwa na mchezo wa fainali ya mashindano ya SportPesa Cup kati ya timu ya KK Sharks na Bandari FC zote za Kenya.
Mshindi wa kwanza atakayepatikana leo atapata fursa ya kucheza mchezo wa kirafiki na Everton inayoshiriki Ligi ya England, kombe la SportPesa pamoja na zawadi ya fedha dola 30,000 fuko ambalo timu za Tanzania zimepishana nalo.
No comments:
Post a Comment