Saturday, 26 January 2019

Mmoja arejea Simba kutoka Majeruhi

Mmoja arejea Simba kutoka Majeruhi
Kuelekea pambano la klabu bingwa barani Afrika kati ya Al Ahly dhidi ya Simba klabu ya Simba imempokea mmoja kutoka majeruhi akikosekana kwenye baadhi ya michezo kutokana na kuwa majeruhi.
Aliyerejea ni Mshambuliaji wao John Raphael Bocco ambaye aliukosa mchezo wa Simba na As Vita ulioisha kwa Simba kufa kwa bao 5 kwa 0.
Bocco amerejea na Kocha Mkuu Patrick Aussems alisema mchezaji huyo anaweza kuwemo kwenye kikosi kitakachosafiri kuifuata Al Ahly huko Misri.

No comments:

Post a Comment