Mwadui wataja mchezaji wanayemhofia zaidi Yanga
Kikosi cha Yanga 15 January 2018 kitashuka Dimbani kucheza na Mwadui Fc waliosafiri kutokea Wilayani kishapu mkoani Shinyanga kwaajili ya Mchezo wa Ligi kuu soka ya Tanzania Bara mpaka Dar Es Salaam kuvaana na Yanga.
Mgunga msomaji wa Kwataunit.co.ke amefunguka kuwa watahakikisha Ibrahim Ajibu haleti Madhara langoni mwao kwani ndiye amekuwa chanzo cha magoli mengi ya Yanga hivyo wao kama Mwadui watahakikisha hachezi anavyopaswa kucheza.
Kikosi cha Yanga 15 January 2018 kitashuka Dimbani kucheza na Mwadui Fc waliosafiri kutokea Wilayani kishapu mkoani Shinyanga kwaajili ya Mchezo wa Ligi kuu soka ya Tanzania Bara mpaka Dar Es Salaam kuvaana na Yanga.
Download ,Install App bora ya Habari na michezo
Kuelekea mchezo huo wa Yanga dhidi ya Mwadui Fc kumekuwa na Tambo kuelekea pambano hilo ambalo litaanza majira ya saa moja usiku uwanja wa Taifa.Download ,Install App bora ya Habari na michezo
Mwadui Fc kupitia kwa Beki wake Revocatus Mgunga wametamba kufunguka kuwafunga Yanga katika mchezo huo na Kuvunja rekodi ya Yanga ya kutopoteza mchezo hata mmoja huku Mgunga akimwanika mchezaji ambaye watahakikisha haleti madhara kwao.Mgunga msomaji wa Kwataunit.co.ke amefunguka kuwa watahakikisha Ibrahim Ajibu haleti Madhara langoni mwao kwani ndiye amekuwa chanzo cha magoli mengi ya Yanga hivyo wao kama Mwadui watahakikisha hachezi anavyopaswa kucheza.
No comments:
Post a Comment