Post ya Haji Manara baada ya mechi ya Vita Congo
Baada ya Simba kufungwa bao 5 kwa 0 na timu ya AS Vita ya Congo huu ndiyo ujumbe wa Afisa habari wa Simba Haji Manara.
Very bad but huo ndio mpira ,Tumefungwa wote kama vile tunavyoshinda wote!!
Goal -2, na tuna mechi mbili away na mbili home,
Tusikate tamaa!!
We lost a battle not a war

No comments:
Post a Comment