Saturday, 12 January 2019

Post ya Manara baada ya ushindi dhidi ya Js Saoura

Post ya Manara baada ya ushindi dhidi ya Js Saoura
Kama alivyoahidi toka awali kuwa waarabu hawatatoka uwanja wa Taifa na leo amethibitisha kauli zake na tambo alizokuwa akizitoa kila mara Afisa habari wa Simba Haji Sunday Manara.
Baada ya kupata Ushindi wa bao 3 kwa 0 leo dhidi ya Js Saoura ameandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Yes We Can
Done it 


nstall app yetu upate Breaking news za Yanga na Simba Bonyeza hapa


No comments:

Post a Comment