Wachezaji 18 wa kikosi chetu leo asubuhi wanarejea Jijini Dar es
Salaam kufanya maandalizi ya mwisho kabla ya kuwakabili JS Saoura katika
mchezo Ligi ya Mabingwa Afrika.
WANAOREJEA DSM ASUBUHI HII
1.Aishi Manula
2.Deo Munishi Dida
3.Nicholas Gyan
WANAOREJEA DSM ASUBUHI HII
1.Aishi Manula
2.Deo Munishi Dida
3.Nicholas Gyan
- Mohamed Hussein
5.Juuko Murshid
6.Pascal Wawa
7.Jonas Mkude
8.James Kotei
9.Clatous Chama
10.Hassan Dilunga
11.Haruna Niyonzima
12.Said Ndemla
13.Mzamiru Yassin
14.Shiza Kichuya
15.Rashid Juma
16.John Bocco
17.Emmanuel Anord Okwii
18.Meddie Kagere
No comments:
Post a Comment