Thursday, 17 January 2019

Wachezaji 18 Yanga walioenda Shinyanga kuivaa Stand United

Kikosi cha Yanga leo Asubuhi kiliondoka Dar Es Salaam kuelekea jijini Mwanza na Baadae Shinyanga ambapo watakuwa na mchezo dhidi ya Stand United Jumamosi.
Wachezaji ambao wameenda kwenye msafara wa Yanga ni Makipa Klaus Kindoki na Ibrahim Hamid.
Walinzi
Paul Godfrey, Gadiel Michael, Juma Abdul, Haji Mwinyi, Andrew Vincent, Kelvin Yondani , Abdallah Shaibu Ninja.
Viungo : Feisal Salum, Said Makapu, Pius Buswita, Mrisho Ngassa, Haruna Moshi Boban na Deus Kaseke.
Washambuliaji walioenda ni
Amis Tambwe, Heritier Makambo na Ibrahim Ajibu

Download ,Install App bora ya michezo

No comments:

Post a Comment