Yanga mzigoni leo 3 January 2019
Michuano ya Mapinduzi Cup kwa mwaka 2019 tayari imeshaanza na kuchukua kasi huko Zanzibar huku jana ikishuhudiwa wawakilishi wa Tanzania bara timu ya Azam ikibana na Jamhuri kutoka Pemba kwa sare ya bao 1 kwa 1.
Kikosi cha Yanga leo 3 January 2019 kitashuka dimbani majira ya saa
mbili na robo usiku kucheza na Vijana wa KVZ ambao walitoka sare katika
mchezo wao dhidi ya Malindi ukiwa ndiyo mchezo wa kwanza wa ufunguzi.
HATA Hivyo Yanga itatumia wachezaji wengi wa kikosi cha pili na timu ya vijana wa Under 20 kutokana na pendekezo la kocha wao Mwinyi Zahera.
Michuano ya Mapinduzi Cup kwa mwaka 2019 tayari imeshaanza na kuchukua kasi huko Zanzibar huku jana ikishuhudiwa wawakilishi wa Tanzania bara timu ya Azam ikibana na Jamhuri kutoka Pemba kwa sare ya bao 1 kwa 1.
HATA Hivyo Yanga itatumia wachezaji wengi wa kikosi cha pili na timu ya vijana wa Under 20 kutokana na pendekezo la kocha wao Mwinyi Zahera.
No comments:
Post a Comment