Msanii wa bongo movies Batuli amefunguka na kumjibu Mange Kimambi
kuwa pamoja na kwamba wao wamekuwa wakiumia na taarifa za kuumwa kwa
baba mzazi wa Diamond Platinumz haimanishi kuwa hata huyo diamond hajui
habari za baba yae lakini swala linakuja kuwa kuna watu wangapi ambao
wamtelekeza wazazi wao lakini hawajawashikia mabango na kuwakumbusha
wajibu wao.
Batuli anasema kuwa mange angeachana na habari hizo kwa sababu kuna watu kibao mitaani kwahiyo wasimuonee Diamond kwa sababu ni mwanamuziki na ndio maana wameweza kumuandama na swala hilo.
katika ukurasa wake wa instagram, batuli an;liandika hivi “

No comments:
Post a Comment