Friday, 1 February 2019

Habari mpya 2 kutoka Yanga mchana wa leo 1 February 2019

Klabu ya Yanga kupitia kurasa zake za mitandao ya Kijamii mchana huu wameandika habari mpya mbili ya Kwanza kuhusu majeraha aliyopata Amis Tambwe kwenye mchezo kati ya Yanga na Biashara United.
Lakini habari nyingine ni kuhusu msiba wa mtoto wa aliyewahi kuwa mwenyekiti wa Yanga na mwanachama wa Yanga
Kocha Zahera Mwinyi amelazimika kumpimzisha mshabuliaji tambwe17 mazoezi ya leo asubuhi ili apate wasaa wa kurejea vyema kiafya kufuatia kupasuka na kushonwa nyuzi 5 baada ya kugongana na kipa wa biasharamarafc nurdineabarorakwenye mchezo wa #azamsportsfederationcup uliochezwa Jana uwanja wa Taifa.
.
Hata hivyo kocha Zahera Mwinyi amethibitisha kuwa mshambuliaji huyo atakuwa sehemu ya kikosi kinachosafiri kwenda jijini Tanga na Singida kwa ajili ya michezo mitatu ya ligi inayofuata.
ya msiba mtoto wa Tarimba
Kwa niaba ya wanachama, wapenzi na Mashabiki wote wa @yangasc unatoa Pole kwa familia ya Abbas Tarimba (MM) kufuatia msiba mzito wa kijana wao mpendwa Meysam Abbas Tarimba.
.
Ibada itafanyika leo saa 12 jioni Khoja Shia Ithnaasheri
.
R.I.P MEYSAM

No comments:

Post a Comment