Sunday, 3 February 2019

Manara: Yanga iliwahi kufungwa 13 – 0

Manara: Yanga iliwahi kufungwa 13 – 0
Afisa habari wa timu ya Simba Haji Manara ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa Yanga iliwahi kufungwa 13 kwa 0 huko Brazil na kombain ya mgambo wa Brazil.
Wengine walikuwa hawajui hii!!
Sahau kuhusu walivyopigwa sita na Raja Casablanca au kumi na tatu kwa bila 13-0 na kombaini ya Mgambo wa Brazil!!
Yupo wapi kidume wa kunyoosha kidole kwamba yy hajawahi kufungwa khamsa na Al-Ahly?

Make sure unasave hii
16/2/2019

No comments:

Post a Comment