Matokeo Al Ahly vs Simba leo
Matokeo ya Moja kwa moja kati ya Al Ahly dhidi ya Simba LEO 2 fEBRUARY 2019 mechi ikichezwa huko mjini Alexandria Misri.
Mechi Imeanza
Al Ahly 0 – 0 Simba
Dakika ya 2 Al Ahly wanapata Kona
Goaaaaaal Al Ahly wanapata bao la Kuongoza
Al Ahly 1 – 0 Simba
Dakika ya 7 Simba wanaonekana kutulia licha ya kufungwa bao na wanapata Kona baada ya shambulizi
Dakika ya 14 Al Ahly wanapata Free Kick baada ya Juuko kumchezea rafu ElShehat, Ni nje kidogo ya 18
Dakika ya 17 Simba wanatengeneza nafasi nzuri krosi ya Asante Kwasi inamkuta Okwi ambaye anashindwa kuicontrol
Dakika ya 20
Al Ahly 1 – 0 Simba
Goaaaal dakika ya 23 Al Ahly wanapata bao la pili
Al Ahly 2 – 0 Simba
Goaaaaaal Dakika ya 30 Al Ahly wanafunga goli la tatu
Al Ahly 3 – 0 Simba
Goaaaal Al Ahly wanaandika bao la 4
Al Ahly 4 – 0 Simba
Dakika ya 40
Al Ahly 5 – 0 Simba
Dakika ya 52 Asante KWASI anapewa kadi ya njano
Dakika ya 54 Jonas Mkude anatoka anaingia Mzamiru Yassin
Dakika 60
Al Ahly 5 – 0 Simba
Dakika ya 73 Meddie Kagere Anatoka anaingia John Bocco
Dakika ya 85

HALF TIME
Al Ahly 5 – 0 SimbaKIPINDI CHA PILI
Kipindi cha Pili kimeanzaDakika ya 52 Asante KWASI anapewa kadi ya njano
Dakika ya 54 Jonas Mkude anatoka anaingia Mzamiru Yassin
Dakika 60
Al Ahly 5 – 0 Simba
Dakika ya 73 Meddie Kagere Anatoka anaingia John Bocco
Dakika ya 85
Al Ahly 5 – 0 Simba
No comments:
Post a Comment