Mechi Imeanza
Lipuli 0 – 0 Simba
Dakika ya pili free Kick kuelekea Simba Inapigwa inaokolewa
Dakika ya 3 Meddie Kagere offside
Dakika ya 4 Emmanuel Okwi anawekwa chini akijaribu kumtoka Mtu, ni free kick
Goaaaaaaaaaal Dakika ya 5 Mwamba wa Lusaka Clatous Chama anaipatia Simba bao
Lipuli Fc 0 – 1 Simba
Dakika ya 6 Lipuli wanafanya shambulizi zito inakuwa kona baada ya Manula kufanya Save
Dakika ya 10 Chama anapenyeza mpira unakuwa mrefu kwa washambuliaji wa Simba na kipa Mohammed Yusuph anaudaka
Dakika ya 13 Free Kick ya Lipuli inapigwa inapaa juu ya Lango
Dakika ya 14 Haruna Shamte anapewa kadi ya njano baada ya kuonekana kutumia nguvu kumzuia Kagere
Dakika ya 16 kona kuelekea Simba
Inapigwa Kona wanashindwa kuitumia vyema Lipuli
Goaaaaaal dakika ya 18 Paul Nonga anaipatia Lipuli Fc bao
Lipuli Fc 1 – 1 Simba
Dakika ya 20 Offside Meddie Kagere
Simba wanatulia na Kucheza pasi za hapa na pale lakini Ngome ya Lipuli Fc inaonekanakuwa imarfa
Dakika ya 27 Emmanuel Okwi anajaribu mpira wa Kichwa unaenda nje ya lango
Dakika ya 32 Haruna Shamte anapiga Free Kick Nzuri Manula anatoa na Kuwa Kona
Dakika ya 33 Lipuli wanacharuka na kupata Kona Nyingine
Inapigwa Kona Inaokolewa, Mpira bado uko langoni mwa Simba
Dakika ya 35
Lipuli Fc 1 -1 Simba
Goaaaaaal dakika ya 44 Chama anaipatia Simba bao kwa njia ya Free Kick
Lipuli 1 – 2 Simba
Wachezaji wa Lipuli wanaonekana kumlaumu mwamuzi kutokana maamuzi yake uwanjani
KIPINDI CHA PILI
Dakika ya 46 Meddie Kagere anapata bao lakini tayari ilikuwa ni offside
Dakika ya 48 Simba wanafanya shambulizi la hatari wanapata Kona
Dakika ya 52 Seiph Karihe anapewa kadi ya njano
Goaaaaaaal dakika ya 57 Meddie Kagere anaipatia Simba bao la Tatu
Lipuli Fc 1 – 3 Simba
Dakika ya 60 Hassan Dilunga anaingia kuchukua nafasi ya Emmanuel Okwi
Dakika ya 69 PaulNgalema anapewa kadi nyekundu baada ya kumchezea madhambi John Bocco
Dakika ya 71 Yusuph Mlipili anapewa kadi ya njano
Dakika ya 77 Lipuli wanapata Kona wanashindwa kuitumia vyema walinzi wa Simba wanosha
Dakika ya 81 Hassan Dilunga anakosa bao la wazi kuiandikia simba bao la 4
Dakika ya 85 Haruna Niyonzima anachukua nafasi ya Chama
Dakika ya 90 Meddie Kagere anatoka anaingia Adam Salamba

HALF TIME
Lipuli 1 – 2 SimbaKIPINDI CHA PILI

No comments:
Post a Comment