Saturday, 2 February 2019

Ujumbe wa mahaba wa kumwambia mpenzi wako unamzimia

nalia ukiwa mbali, nachukia nisipo kuona ,najuta ninapo
kuudhi ,naumia unapo nitenga , nateseka ukiwa kimya
,nafurahi ukinikumbuka, nakupnda mpenzi

No comments:

Post a Comment