Mtoto pekee wa kike wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame, Ange Kagame juzi
Ijumaa amefunga ndoa ya kimila na mchumba wake wa muda mrefu Bertrand
Ndengeyingoma. Ndoa hiyo imefungwa huko Ntebe Mashariki mwa Rwanda kando kando mwa ziwa Muhazi. Ange
Kagame (25) mara kwa mara, amekuwa akitajwa na mitandao mbalimbali kuwa
ndiye mtoto wa Rais ambaye mrembo zaidi barani Afrika.
No comments:
Post a Comment