Breaking News: Kocha Ligi kuu Atimuliwa
Kutokana na Matokeo kuendelea kuwa Mabovu Kocha wa Tanzania Prisons Abdallah Bares amevunjiwa mkataba na klabu ya Tanzania Prisosn
Nafasi ya Abdallah Bares imechukuliwa na Kocha Adolf Rishard ambaye atakuwa akisaidiwa na Shaban Kazumba ambaye aliwahi kuwa kocha msaidizi kipindi cha Nyuma.
Mpaka sasa timu ya Tanzania Prisons ipo katika nafasi ya 19 ya pili kutoka mwisho ikiwa na Points 11 baada ya kucheza mechi 17 za Ligi Kuu.

No comments:
Post a Comment