Ratiba Mapinduzi Cup 2019
Hii ndiyo Ratiba ya Mapinduzi Cup kwa mwaka 2019 ambapo kwa Tanzania
bara Michuano Hiyo itashirikisha timu za Yanga, Simba na Azam Fc.
Makundi Mapinduzi Cup 2019
KUNDI A
- Chipukizi
- Mlandege
- KMKM
- Simba Sc
KUNDI B
- KVZ
- Malindi
- Jamhuri
- Azam Fc
- Yanga
-
No comments:
Post a Comment