Dongo la Haji Manara kwa Yanga kisa mechi ya Tukuyu
Afisa habari wa Simba Haji manara ameamua kushusha dongo kwa Yanga kisa tu mahudhurio hafifu ya watu wa Yanga kwenye mechi ya Kombe la Azam Sports Federation Cup.
Yanga msomaji wa Kwataunit.co.ke ilicheza na Tukuyu Stars jana 24.12.2018 wakati Simba Ikicheza hapo hapo uwanja wa Taifa 23.12.2018 Haji kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost picha 2 za Mahudhurio mechi ya Simba na Nkana na Yanga vs Tukuyu
Angalia ujumbe wake wote hapa
Ipi Team ya Wananchi hapo? Okey cc ni team ya Watu na hyo Ndio tofauti yetu wao na cc
By the way nisisahau kuwapongeza kwa kuifunga Tukuyu Stars na kufuzu makundi ya Afrika,tutakutana huko Ipi Team ya Wananchi hapo? Okey cc ni team ya Watu na hyo Ndio tofauti yetu wao na cc By the way nisisahau kuwapongeza kwa kuifunga Tukuyu Stars na kufuzu makundi ya Afrika,tutakutana huko

Tambwe ammwagia sifa mchezaji huyu Yanga
Kisha aliuliza ipi timu ya wananchi?Angalia ujumbe wake wote hapa
Ipi Team ya Wananchi hapo? Okey cc ni team ya Watu na hyo Ndio tofauti yetu wao na cc
By the way nisisahau kuwapongeza kwa kuifunga Tukuyu Stars na kufuzu makundi ya Afrika,tutakutana huko Ipi Team ya Wananchi hapo? Okey cc ni team ya Watu na hyo Ndio tofauti yetu wao na cc By the way nisisahau kuwapongeza kwa kuifunga Tukuyu Stars na kufuzu makundi ya Afrika,tutakutana huko
No comments:
Post a Comment