Simba Usajili : Muda wowote mchezaji huyu anaondoka
INAELEZWA kuwa mchezaji wa klabu ya Simba Emmanuel Okwi muda wowote kutoka sasa huenda akaondoka ndani ya Simba baada ya kukubaliana mambo mengi kwenye mkataba aliopewa na klabu ya Kaizer Chief ya Afrika Kusini.
Licha ya kwamba Okwi ameshakubaliana na mambo mengi yaliyomo kwenye mkataba ambayo mengi ni bora zaidi kuliko ambayo anayapata Simba inaelezwa hata viongozi wa klabu hiyo wamekubaliana na uongozi wa Kaizer Chief.

No comments:
Post a Comment