Habari mpya kutoka Yanga leo 26 December 2018
Yanga ilicheza mechi zake mbili bila ya kocha wake mkuu Mwinyi Zahera, Mechi ya Kwanza ikiwa ni ya Ligi kuu Tanzania bara dhidi ya African Lyon ikishinda ugenini bao 1 kwa 0 na kisha ikashinda bao 4 kwa 0 dhidi ya Tukuyu Stars Azam Sports.
Habari njema ikufikie kuwa kocha mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera leo anatarajia kutua nchini majira haya ya asubuhi akitokea nchini Ufaransa alipokuwa ameenda kwaajili ya masuala ya kifamilia.
Zahera ataendelea na majukumu yake kama kawaida na kuiandaa yanga inayotarajiwa kusafiri kwenda Mbeya kwaajili ya mchezo dhidi ya Mbeya City 29 December 2018.

No comments:
Post a Comment