Tuesday, 25 December 2018

Simba vs Mashujaa leo 26 December 2018

Simba vs Mashujaa leo 26 December 2018
Kikosi cha Simba leo 26 December kinashuka dimbani kucheza na Mashujaa Fc Katika mechi ya 64 BORA ili kupata timu 32 zitakazocheza pia mtoano ili kuzipata timu 16, 8,4 na kisha mbili zitakazocheza Fainali Azam Sports Federation.
Mashujaa Fc ni timu kutoka mkoani Kigoma inayocheza ligi daraja la kwanza Tanzania Bara kocha wa Mashujaa Fc anaitwa Rashid Chama na leo timu hiyo imeahidi kutoa Upinzani kwa Simba.

Simba Usajili : Muda wowote mchezaji huyu anaondoka

Kwa Upande wa Simba wao kupitia kwa msemaji wao Haji Manara alifunguka kuwa wataingia wakiwaheshimu Mashujaa kwani wanakumbuka yaliyowakuta kwa Green Warriors msimu uliopita.
Mechi hiyo utachezwa uwanja wa Taifa kuanzia majira ya saa kumi kamili alasiri.

No comments:

Post a Comment