Matokeo Simba vs Mashujaa leo
Matokeo ya Moja kwa moja kati ya Simba dhidi ya Mashujaa ya Kigoma , mechi ya kombe la Shirikisho Azam Sports Federation.
Mechi Imeanza tayari
Simba 0 – 0 Mashujaa
Dakika ya 5 Mashujaa wanafanya shambulizi langoni mwa Simba lakini vipimo vinagoma na mpira unakuwa ni goal kick
Dakika 10
Simba 0 – 0 Mashujaa
Dakika ya 14 Abdul Suleiman anafanya vitu vinavyonyanyua washabiki
Simba wanapata kona 2 Mfululizo lakini wanashindwa kuzitumia vyema
Dakika ya 16 Adam Salamba anajaribu suti linaenda nje ya lango
Dakika ya 17 Simba inapata tena kona mbili mfululizo
Goaaaaaaal Paul Bukaba anaipatia Simba bao la Kuongoza, Hili ni bao la kwanza kwa Bukaba toka ajiunge na Simba
Simba 1 – 0 Mashujaa
Dakika ya 19 Paul Bukaba anapewa kadi ya njano baada ya kucheza faulo mbaya
Dakika 25
Simba 1 – 0 Mashujaa
Dakika 30
Simba 1 – 0 Mashujaa
Mashujaa Fc wanaonekana kuanza kucheza kwa kujiamini wakipiga pasi nzuri za Kuvutia lakini ukuta wa Simba unaonekana kuwa imara
Dakika ya 33 Mzamiru Yassin anawakosa bao Mashujaa anapiga inagonga mwamba na kurejea.
Dakika ya 39 Mashujaa wanawakosa Simba bao.
Dakika ya 39 Abdul Suleiman wa Simba anakosa utulivu anashindwa kupiga kwa umakini wakati ambao kipa alikuwa ameshatoka golini
Dakika 40
Simba 1 – 0 Mashujaa
Dakika ya 45 Adam Salamba anaonekana kuugulia maumivu baada ya Kuumia

No comments:
Post a Comment