Baada ya Simba kutolewa kwenye michuano ya Azam Sports Federation Cup na timu ya Mashujaa ya Mkoani Kigoma Huu ndiyo Ujumbe aliouandika Haji manara kupitia Instagram yake.
Hakuna kitu kibaya kama dharau na tunawaumiza washabiki wetu!
Simba ni klabu kubwa sana na hilo kila mtu klabuni alijue!!
Okey maisha lazma yasonge mbele
No comments:
Post a Comment