Utani wa Haji Manara kuhusu Kundi la Yanga Klabu Bingwa
Afisa habari wa timu ya Simba huwa haishiwi utani hasa kwa watani wake wa jadi timu ya Yanga
Sasa baada ya jana klabu ya Simba kupangwa katika kundi D klabu bingwa barani Afrika ikiwa na Timu za JS Saoura , Al Ahly na AS Vita leo ameamka na utani kwa Kuuliza Yanga wapo kundi Gani>
Kisha akaandika Ujumbe Huu hapo chini.
Asubuhi nimeona taarifa ya ongezeko la Group F Kwenye CL ya Afrika
Gongowazi FC
Makwasukwasu Eleven
Mbute Mbute Worries
Omba Omba SC
Asubuhi nimeona taarifa ya ongezeko la Group F Kwenye CL ya Afrika Gongowazi FC Makwasukwasu Eleven Mbute Mbute Worries Omba Omba SC

No comments:
Post a Comment