Ujumbe wa Ajibu kuelekea mechi na Mbeya City
Leo kutakuwa na Pambano la kukata na Shoka pambano la Kibabe katika nyasi za Uwanja unaomilikiwa na Chama cha Mapinduzi mkoani Mbeya Sokoine Kati ya Mbeya City wenyeji wakiwaalika Yanga kutoka Dar Es Salaam.
Kuelekea pambano hilo Kiungo mwenye pasi nyingi zaidi za usaidizi (Assists) Ibrahim Ajibu amefunguka kuelekea mchezo huo kwa kusema wamejipanga kupata Ushindi leo.
” tumejipanga vyema kushinda mchezo wa leo. Kushinda ni tabia na hii tabia tunashukuru Mungu ametubariki nayo Yanga SC msimu huu ”

No comments:
Post a Comment