Download ,Install App bora ya michezo
Diamond amethibitisha hilo kwenye ukurasa wake wa Twitter, ambapo amesema kuwa anaamini mwanamke akiwezeshwa anaweza.
“Nipo mbioni kumtambulisha msanii wa kike (WCB), kwa sababu naamini wanawake wanaweza, wakiwezeshwa,” ameandika Diamond Platnumz .
Kwa sasa lebo ya WCB ina msanii mmoja wa kike, Queen Darleen. Swali ni je, msanii gani wa kike atakayetambulishwa.
Kwa tetesi zilizopo chini ya kapeti, inaelezwa kuwa mtoto wa Mwimbaji wa Taarabu, Khadija Kopa aitwaye Zooccu Kopa (Zochu) ndiye msanii anayetarajiwa kusainiwa. Unaweza ukatazama cover alizowahi kuzifanya msanii huyo
No comments:
Post a Comment