Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz jana Januari 13, 2019
amemtambulisha rasmi mchumba wake mpya Tanasha kwa mama yake mzazi.Kwenye utambulisho huo, Diamond aliwaalika pia ndugu, jamaa na marafiki zake. tukio lilifanyika nyumbani kwake Madale.
Monday, 14 January 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment