Kikosi cha Yanga kitakachoshiriki Mapinduzi Cup 2019
Michuano ya Kombe la Mapinduzi itaanza rasmi leo huku ikishirikisha timu za Zanzibar na Tanzania bara huku Tanzania bara ikizishirikisha Yanga, Simba na Azam Fc.
Jana kocha wa Yanga Zahera Mwinyi aliweka wazi kuwa Yanga haiwezi kushiriki kwa kupeleka kikosi chote Zanzibar kwani kuna mashundano mengi yaliyopo mbele yao.
Kutokana na Hilo msomaji wa Kwataunit.co.ke kikosi cha Yanga kitakachoenda Zanzibar kitaenda na Kocha Msaidizi Noel Mwandila huku kikiwa na wachezaji wengi wa kikosi cha pili na vijana na wa U20
Huku kikosi cha Kwanza kikibaki na Zahera Mwinyi kwaajili ya maandalizi ya mechi za Ligi kuu na Michuano mingine iliyombele.
Hiki ndicho Kikosi cha Yanga kitakachoshiriki mapinduzi Cup 2019 huko Zanzibar.
Maka Edward, Haji Mwinyi, Said Makapu, Matheo Anthony, Erick Msagati, Deo Mukami, Ibrahim Abrahman, Ibrahim Ahmed, Deus Kaseke, Mustapha Seleman, Abuu Shaaban, Ramadhan Mrisho, Mohamed Salum, Cheda Hussein, Yasin Saleh, Salum Mkama, Faraji Kilaza, Yassin Saleh, Bakari Athuman, Said Kassim na Shaaban Mohammed.

No comments:
Post a Comment