Download ,Install App bora ya michezo
Matokeo As Vita vs Simba leo
Mechi Imeanza
Dakika ya 5
As Vita 0 – 0 Simba
Dakika ya 5 Kagere anakosa goli akiwa amebaki yeye na Kipa
Dakika ya 11 Free kick ya Yanick Bangala inagonga mwamba wa pembeni na kurejea uwanjani
Goaaaaaaal dakika ya 13 Makusu anaitanguliza As Vita kwa bao la Kuongoza
As Vita 1 – 0 Simba
Dakika ya 17 Simba wanapata Kona wanashindwa kuitumia
Dakika ya 18 Kona kuelekea Simba
Goaaaaal As Vita wanapata bao la Pili
As Vita 2 – 0 Simba
Dakika ya 24 Inapigwa kamba ya mbali mita 30 Aishi Manula anatoa na Kuwa KOna
Dakika 25
As Vita 2 – 0 Simba
Dakika ya 28 Jonas Mkude anapewa kadi ya njano
Half time
As Vita 3 – 0 Simba
KIPINDI CHA PILI
Kipindi cha pili Simba wanafanya mabadiliko ya kumtoa Muzamir Yassin anaingia Niyonzima
Dakika ya 50
As vita 3 – 0 Simba
Dakika ya 61 chama anatolewa nafasi yake anaingia Hassan Dilunga
Dakika ya 69 Vita wanapata bao la 4
Goaaaal As Vita wanapata bao la 5
Dakika ya 85
As Vita 5 – 0 Simba
FULL TIME
As Vita 5 – 0 Simba
No comments:
Post a Comment