Download ,Install App bora ya michezo
Matokeo Stand United vs Yanga leoMuda wowote kutoka sasa mechi itaanza kati ya Stand United na Yanga
Mechi Imeanza
Stand United 0 – 0 Yanga
Dakika ya 3 Paul Godfrey anapiga shuti langoni mwa Stand United Kipa anatema shuti na kudaka tena
Dakika 5
Stand United 0 – 0 Yanga
Dakika ya 7 Yanga wanapata Kona
Dakika 10
Stand United 0 – 0 Yanga
Dakika ya 13 Yanga wanatengeneza shambulizi zuri kupitia kwa Ajibu lakini krosi aliyopiga inashindwa kuunganishwa
Dakika 15
Stand United 0 – 0 Yanga
Dakika ya 19 Stand United wanatengeneza Shambulizi zuri lakini Ninja anatibua
Dakika ya 22 Yanga wanapata Kona
Dakika ya 26 Ajibu anawatoka mabeki wawili anapiga krosi beki anashika ndani ya boksi lakini refa anapeta
HALF TIME
Stand United 0 – 0 Yanga
KIPINDI CHA PILI
Yanga wanaanza kwa mabadiliko ya kumtoa Boban na nafasi yake inachukuliwa na Makambo
DAKIKA YA 50
Stand United 0 – 0 Yanga
Dakika ya 54 kipa wa Stand Yupo chini baada ya kugusana na Makambo
Dakika ya 64 Ngassa anatolewa anaingia Buswita
Dakika ya 70 bado bila bila
Dakika ya 80
Stand United 0 – 0 Yanga
Goaaaaaal Massawe anaipatia Stand bao la kwanza dakika ya 88
Stand United 1 – 0 Yanga
FULL TIME
Stand United 1 – 0 Yanga
No comments:
Post a Comment