Sunday, 13 January 2019

Matokeo Yanga Princess vs Simba Queens leo

Matokeo Yanga Princess vs Simba Queens leo
Ligi Kuu soka ya wanawake iliendelea leo kwa mchezo kati ya Simba na Yanga mechi iliyochezwa uwanja wa Karume jijini Dar Es Salaam.
katika mchezo huo Simba wameiangushia mzigo mzito Yanga kwa kuichapa bao 7 kwa 0.
Mabao ya Simba yalifungwa na Mwanahamisi Omary mabao manne peke yake, Amina Ramadhan, Amina Ally huku Flora Kayanda wa yanga akijifunga bao

No comments:

Post a Comment