Klabu ya Simba kesho 16 January 2018 walitakiwa kushuka dimbani kucheza na Lipuli Fc ya Mkoani Iringa .
Kuelekea mchezo huo Bodi ya Ligi kupitia kwa mtendaji mkuu Boniface Wambura wameupeleka mbele mchezo huo ili kuipa Simba nafasi ya kujiandaa kimatifa.
“Kwa sasa viporo vya Simba vitapangiwa tarehe wanaweza kucheza mchezo mmoja ama miwili mwezi huu wa Kwanza Ila mwezi wa pili watakamilisha michezo yao Kwa asilimia kubwa,” alisema Wambura
Simba watacheza wiki hii mchezo wake wa pili hatua ya Makundi dhidi ya AS Vita mchezo ambao umepangwa kuchezwa Jumamosi 19 January 2019 huko nchini Congo.

No comments:
Post a Comment