Yanga wataja watano watakaokosekana dhidi ya mwadui leo
Kikosi cha Yanga 15 January 2018 kitashuka Dimbani kucheza na Mwadui Fc waliosafiri kutokea Wilayani kishapu mkoani Shinyanga kwaajili ya Mchezo wa Ligi kuu soka ya Tanzania Bara mpaka Dar Es Salaam kuvaana na Yanga.
Kuelekea pambano hilo Meneja wa Yanga Nadir Haroub Cannavaro ametaja wachezaji watano ambao watakosekana kuelekea mchezo dhidi ya Mwadui Fc leo.
Wengine ambao watakosekana ni Papy Tshishimbi ambaye inaelezwa kuwa ni majeruhi na Heritier Makambo ambaye bado yupo kwao kutokana na matatizo ya Kifamilia
Kikosi cha Yanga 15 January 2018 kitashuka Dimbani kucheza na Mwadui Fc waliosafiri kutokea Wilayani kishapu mkoani Shinyanga kwaajili ya Mchezo wa Ligi kuu soka ya Tanzania Bara mpaka Dar Es Salaam kuvaana na Yanga.
Kuelekea pambano hilo Meneja wa Yanga Nadir Haroub Cannavaro ametaja wachezaji watano ambao watakosekana kuelekea mchezo dhidi ya Mwadui Fc leo.
Download ,Install App bora ya Habari na michezo
Wachezaji ambao watakosekana leo ni majeruhi wa Siku nyingi Juma Mahadhi, Baruan Akilimali na Raphael Daud.Wengine ambao watakosekana ni Papy Tshishimbi ambaye inaelezwa kuwa ni majeruhi na Heritier Makambo ambaye bado yupo kwao kutokana na matatizo ya Kifamilia
No comments:
Post a Comment